
Mwigizaji maarufu wa filamu wa nchini Marekani Angela Basset anatarajia kuongoza filamu itayohusu maisha halisi ya aliyekuwa mwanamuziki nguli duniani Witney Houston.
Kituo cha Televisheni cha Lifetime cha Marekani kimethibitisha kuwa filamu hiyo itaelezea maisha ya Witney hadi kuibukia kwenye umaarufu pamoja na mahusiano yake na aliyekuwa mume wake kwa kipindi hicho Bobby Brown kuanzia mara ya kwanza walipokutana hadi kufunga ndoa.
Mwanamuziki...