Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani.
Jana Diamond akiwa na wasanii wenzake wanaowania tuzo katika kipengele cha International Act (Africa) walihudhuria party ya utangulizi (BET Pre Awards VIP Party).
Fally Ipupa aliungana na wasanii wanaowania kipengele kimoja na Diamond ambao ni Davido, Mafikizolo na Tiwa Savage na Sarkodie (hayupo kwenye picha hizi).
...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Leo ni Leo asemaye kesho ni muongo, Aijawai kutokea katika history ya Tanzania kwa mwanamziki yoyote kwenda kugombea tuzo za BET award naombeni watu wote tuwe pamoja tuache tofauti zetu tum support mTanzania mwenzetu akipata yeye ndio tumepata Tanzania nzima. TUNAJIVUNIA UPENDO NA AMANI , atakua ametuinua katika level ya kima taifa ya mziki .Mwenyezi mungu akufungulie kila la kheri na baraka @diamondplatnumz uweze kushinda , kama kuna uzito wowote kwako Mwenyezi Mungu Au fanye uwe mwepesi uweze kupata tuzo yako InshaAllah . WaTanzania...
Subscribe to:
Posts (Atom)