.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Yaani haya ndo mambo niliyokuwa naongelea jana jamani wanawake tuamke tusikubali mambo hayo mtu anekupenda hawezi kukufanyia unyama kama huu no matter what. #SayNoToDomesticViolence#WomenStandUp. By @usipojipangantakupanga: "Huyu
dada alimfumania mumewe....matokeo yake mwanamke kapigwa na mumewe!.wanaume wakatili sana kwanza kamkosea mke wake kwa kumsaliti ...pili kapema kipigo kana kwamba yeye ndio kafumaniwa....jana hiyo...dada yupo hoi hospitali ya mwananyamala.....sasa kama wewe ndio huyu dada je ukipona utarudi kwa mume au utafanyaje??
CRDT:#JestinaGeorge
Posted by kifesi |
Nicki minaj ni mmoja ya mastaa wa kike wengi,wanaoandamwa na shutuma za kuwa na makalio feki(waliyojiongeza kwa operation ama madawa)japo shutuma hizo hazijawahi sibitishwa,sasa Kwenye show ya Fashion Rock Aliyofanya Rapper Nicki Minaj inasemekana alikaa vibaya na makalio yake kuonekana tofauti na yalivyozoeleka kama unavyoona pichani na kuzua gumzo kuwa yanaweza kuwa feki kama wengi wanavyodai.
Subscribe to:
Posts (Atom)