.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Baada ya habari zao kuenea kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu kuachana kwao na baadaye kuja kuombana msamaha huku mashabiki wakionekana kukerwa na kuweka mambo yao binafsi kwenye mitandao ya kijamii, katunga wimbo.
Tulisikia kuhusu Chris Brown kumuomba msamaha mpenzi wake Karrueche kwa mara nyingine tena, lakini hii naona kaongeza msisitizo wa kumaanisha alichokisema kwa kutumia wimbo wa ‘Waiting’, ambao mitandao inasema mashabiki walioshare na kucomment wameuelewa kwamba Chris anazungumzia Karrueche.
Posted by kifesi |
Drama bado inaendelea! Mapenzi kati ya mastaa wawili Selena Gomez na Justin Bieber yameendelea kuwa kivutio kwa mashabiki wao na safari hii baada ya kuwepo na taarifa za kuachana kwao,Gomez amefunguka na kusema licha ya kutokuwa pamoja bado anampenda Bierber.
Gomez mwenye miaka 22 alipohojiwa jana alisema kwa sasa hayupo kwenye mahusiano na mtu na hakuna kibaya kati yake na mwimbaji huyo,ingawa amekiri wana historia ya kuachana na kurudiana mara kwa mara kwa miaka minne sasa.
“”Nilikua ninamuheshimu na kumpenda”…Gomez aliiambia redio NRJ ya nchini Norway wakati alipohojiwa kuhusu wimbo wake mpya wa ujulikanao kama ‘Hearts wants what it wants’ ambao umeonekana kama umelenga kumuhamasisha Bieber ili warudiane.
Subscribe to:
Posts (Atom)