Being confident is the key to life. Don't be afraid to be you! And if you are OK with it, everyone else will be, too. Just be yourself. |
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz. Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond zikiwemo ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’ amesema kwakuwa yeye ndiye aliyemtoa akiamua muda wowote wanaweza kufanya naye kazi. “Kwa sababu nia bado ipo na sisi tupo hai hatuwezi kujua nini kitatokea, siwezi sema natamani ni kijana wangu ambaye nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya naye nitafanya naye, haiwezi kuwa na ugumu,” amesema Bob Junior.
Posted by kifesi |
Kama unakumbuka kaka yake hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.
Subscribe to:
Posts (Atom)