hii imetokea Arizona nchini Marekani ambapo mtoto wa miaka 9 ndio
kichwa cha habari kwenye mafunzo ya kutumia submachine gun
iliyotengenezwa Israel.
Mtoto
huyu wa kike anaetokea New York alikua kwenye mapumziko na matembezi
kama mtalii kwenye mji wa Arizona ambako pia ndio alichukua time yake ya
ziada kujifunza kutumia bunduki lakini kwa bahati mbaya risasi
ikafyetuka na kumjeruhi mwalimu wake aitwae Charles Vacca mwenye umri wa
miaka 39 ambae alifariki baadae hospitalini.
HII NI CLIP DAKIKA CHACHE KABLA YA MAUA...
.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Kampuni
ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’
yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama
wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni
inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge
ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya
30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa
#BongoIce.
Mkurugenzi
wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni hii na
kuwateua Naibu Waziri wa...
Posted by kifesi |
Ilikuwa ni Kwenye summer classic Charity basketball match ya mwaka 2014 ambayo
inaleta pamoja mastaa wa sanaa tofauti kucheza mechi na kuchangisha
pesa, Rihanna alikuwa miongoni mwa mastaa wa muziki waliohdhuria game ya
basket iliyochezwa na Chris Brown.
Vyanzo vya habari vingine vinasema Rihanna hakujua kama Chris Brown
anacheza mechi hio na baada ya kumuona Rihanna aliweka sura tofauti kama
vile hajamuona na hana time naye kitu ambacho...
Subscribe to:
Posts (Atom)