Kampuni
ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’
yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama
wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni
inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge
ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya
30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa
#BongoIce.
Mkurugenzi
wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni hii na
kuwateua Naibu Waziri wa Mawasiliano Mhe January Makamba, Mkurugenzi
Mkuu wa kampuni ya Tigo Diego Gutierrez na Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Airtel ndugu Sunil Colaso kushiriki kampeni hii. Fuatilia
kupitia.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment