Ilikuwa ni Kwenye summer classic Charity basketball match ya mwaka 2014 ambayo
inaleta pamoja mastaa wa sanaa tofauti kucheza mechi na kuchangisha
pesa, Rihanna alikuwa miongoni mwa mastaa wa muziki waliohdhuria game ya
basket iliyochezwa na Chris Brown.
Vyanzo vya habari vingine vinasema Rihanna hakujua kama Chris Brown
anacheza mechi hio na baada ya kumuona Rihanna aliweka sura tofauti kama
vile hajamuona na hana time naye kitu ambacho kiligundulika na watu
waliokaa karibu na BadGal Riri.
|
0 comments:
Post a Comment