.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Pasipo shaka na wewe ulishawai sikia ama kusoma sehem kuwa ,mama yake diamond hampend ama hapatani na wema,sasa mmoja ya wahusika(wema)amefunguka,akiongea na millardayo..Wema anasema ‘Watu wanasikia vitu vingi hata kwenye Magazeti watu wanaandika vitu vingi hususani Waandishi huwa wanatengeneza ili tu kupata habari lakini hatuwezi kusema kila kitu kinachotuhusu sisi kila mtu anajua….. hapana, mbona mimi na mama tunapatana tuuuu’ ‘Mbona mami ake wangu mieeeee…. mwenyewe ananiitaga chizi langu, kwa hiyo tuko okey sana, nadhani watu wanamawazo hayo kwa sababu Mama ni mama yake Naseeb na mwisho wa siku Naseeb anakua sometimes hivi sometimes vile yeye kama mama lazima asimame nyuma ya mtoto wake ila mama yuko okey, mama ni mchizi wetu.. kamanda wetu mwenyewe’

0 comments:

Post a Comment