.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
sister1

huyu ni Mtawa kikatoliki kutoka Italia ambaye kwenye mashindano ya kuimba ameibuka na ushindi wa hali ya juu. sisterBaada ya kuibuka na ushindi huu mtawa huyu amekua na umaarufu katika mitandao mbalimbali ya kijamii,Sister huyu anaitwa Sister Christina Scuccia ambaye kwa mara ya kwanza alitokea katika televisheni katika kushiriki shindano la The Voice. Sister Scuccia ambaye ana umri wa miaka 25 alivalia mavazi yake ya utawa kama kawaida na alijawa na furaha na kumshukuru Mungu kwa kumpa ushindi huona kusema aliamua kushiriki mashindano hayo baada ya ya ushauri wa Papa Mtakatifu Francis aliyosema kanisa liwakaribie zaidi watu wa kawaida. Hii ni video yake akiimba wimbo wa No one wa Alicia Keys ambao umetazamwa zaidi ya milioni 50 kwenye mtandao wa Youtube tangu iwekwe na baadhi ya majaji wa shindano hili walikua wakilengwa lengwa na machozi ya furaha.

0 comments:

Post a Comment