.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=205737&d=1416994347Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18 December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye party ya Jose chemeleone ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe hizo hizo. Ikumbukwe Jose na Zari walishawahi kuwa wapenzi kipindi cha nyuma hadi kufikia Zari kugombana na mke wa Chameleon. So ni watalaka kwenda kwa party za watalaka. Hii Kali sana japo haileweshi.

Haijajulikana bado Kama Ivan baba watoyo wa Zari ndiye au siye mdhamini wa party ya zari Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Chini ni picha ya Wema na Diamond kila mmoja akihamasisha party ya mwenyeji wake.

Wacha project ziendeleeeeee

0 comments:

Post a Comment