Mapya yanazidi kuibuka kuhusu kuachana kwa Amber Rose na Wiz Khalifa. Repoti mpya kutokwa kwa marafiki wa Amber ni kwamba Wiz Khalifa alikuwa anatoka na wanawake wawili kwa wakati moja, wanawake hao ni mapacha.
Imefahamika kuwa mapacha hawa ni wabunifu wa mavazi kupitia kampuni yao ya Jas and Ness.
0 comments:
Post a Comment