mkali kutoka Marekani Rapper T.I aliyeangusha show
ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi
Oktoba 18 2014
katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam,
ameseam kwake sho ya fiesta ndio concert kubwa kuwahi kufanya mbele ya watu zaidi ya elfu 50
Katika mahojiano aliyofanya New York Marekani na
kituo maarufu cha redio Power 105.1
kwenye show ya Breakfast
Club, T.I amesema tangu aanze kufanya muziki
hajawahi kufanya show kwenye jukwaa
lolote mbele ya mashabiki zaidi ya
50,000.
T.I amelinganisha idadi hiyo kubwa
aliyokutana nayo
Tanzania kuwa ni sawa na kufanya show katika
uwanja wa
mpira wa miguu na kuujaza kwa show
moja, kitu ambacho anakiona kabisa
sio rahisi
na ndio maana hii ya Leaders imekua kubwa kwake.angalia video ya mahojiano hayo ambapo kazungumzia pia ishu ya ebola
0 comments:
Post a Comment