Mwenyekiti mtendaji wa kampuni kubwa duniani ya Apple Tim Cook, ametangaza rasmi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong'ang'ana
kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la
biashara la kila wiki la Bloomberg.
Amekuwa wazi kuhusu jinsia yake,lakini
amejaribu kuweka maisha yake katika faragha hadi sasa alisema.
Tim Cook alitoa changamoto kwa jimbo lake la Alabama
kuhakikisha kuwa haki za mashoga na wale wanaobadili jinsia
zinaheshimiwa.
''Mimi sijitambui kama mwanaharakati,lakini nimegundua nilivyofaidika na mikakati iliowekwa na wengine'',alisema bwana Cook.
''Kwa hivyo iwapo watu wakisikia kwamba mimi ni shoga kutawasaidia baadhi yao ,ama kumpa faraja yule anayejisikia mpweke ama kuwashinikiza wengine kupigania haki zao,basi afadhali kutangaza maisha yangu ya faragha''aliongezea.
Bwana Cook amesema amekuwa wazi kuhusu jinsia yake na watu wengi wakiwemo wafanyikazi wenzake katika kampuni ya Apple,lakini hilo halikuwa chaguo rahisi kutangaza hadharani kuhusu jinsia yake.
Mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza jinsia yake akisema kuwa ''anajivunia kuwa shoga''.
Amekuwa wazi kuhusu jinsia yake,lakini
pia
''Mimi sijitambui kama mwanaharakati,lakini nimegundua nilivyofaidika na mikakati iliowekwa na wengine'',alisema bwana Cook.
''Kwa hivyo iwapo watu wakisikia kwamba mimi ni shoga kutawasaidia baadhi yao ,ama kumpa faraja yule anayejisikia mpweke ama kuwashinikiza wengine kupigania haki zao,basi afadhali kutangaza maisha yangu ya faragha''aliongezea.
Bwana Cook amesema amekuwa wazi kuhusu jinsia yake na watu wengi wakiwemo wafanyikazi wenzake katika kampuni ya Apple,lakini hilo halikuwa chaguo rahisi kutangaza hadharani kuhusu jinsia yake.
0 comments:
Post a Comment