Kipindi cha maisha na hustle za Wema
Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo na kwenye
interview aliyofanyana na FNL (EATV)Wema alisema
1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana.
3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya vitaonekana
4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye show "Episode ya kwanza atakuwepo na zinazokuja".
Safi
ReplyDelete