Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson
Safari hii amevalishwa ‘Halloween’, na kali zaidi ni kuwa kavalishwa nguo ambazo zimefanana na alizokuwa anapendelea kuvaa staa mwingine Michael Jackson.
Hii ni picha iliyozagaa mitandaoni inayomuonyesha Ivy ndani ya kivazi hicho akiwa na babaake.
0 comments:
Post a Comment