Habari ya Tanzania kwa sasa ni ushindi wa Diamond kwenye tuzo kubwa za channel0,ambapo ameshinda tuzo 3,mmoja ya waliompongeza ni ex wake,Wema sepetu kupitia instagram alimpongeza na kumalizia kwa kumuita kaka badala ya baby kama tulivyozoea,kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na mwanandada ZARI Bossy lady wa Uganda ambae waliongozana wote kwenye tuzo
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment