Posted by kifesi |
Msanii
wa maigizo Elizabeth Michael maarufu kama "Lulu" jana jioni
aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza
Meeda na kujumuika nao kwenye Futari iliyo andaliwa na msanii huyo...
Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba,
Dk. Cheni na watu mbali mbali.
0 comments:
Post a Comment