Usiku wa tarehe 19th september 2014 ndani ya JW MARRIOT,WASHINGTON DC,itabaki kuwa moja ya usiku wa kipekee na wa kukumbukwa kwa watanzania waishio Marekani,ilikuwa nisiku mhimu ya kumuaga baba yetu,na rais wetu mpendwa Mheshimiwa,Jakaya MlishO Kikwete,usiku huo uliopewa jina la,USIKU WA JAKAYA,Usiku wa kumuaga na kushukuru Kwa mema yake na uongozi mzuri wa nchi yetu PENDWA Tanzania, kabla hajamaliza mda wake hapo mwakani..Kwetu fashion tunamwombea maisha mema na afya njema yeye na familia yake,aoate kumaliza kipindi chache salama .
Hizi ni official picha za tukio lilivyokuwa
0 comments:
Post a Comment