.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Mtandao wa Tmz umeripoti kuwa msanii wa Rnb Chris Brown amempangishia mpenzi wake wa muda mrefu nyumba baada ya kugundua kuwa Karrueche anaujauzito na anahitaji kuwa kwenye mazingira bora zaidi.

Chris Brown na Karrueche Tran wamekuwa wapenzi toka mwaka 2009 na sasa wataishi pamoja kwenye nyumba hio iliyopo Los Angeles inayolipiwa dola $4,600  kwa mwezi.
Gari ya Chris Brown Nje Ya Nyumba Ya Tran
 

0 comments:

Post a Comment