Mashindano makubwa ya urembo,Miss Universe Tanzania 2014 yameanza na kama unaamini una vigezo nafasi hii ni yako
Na tatiba ya usaili ni Mwanza itakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri, Arusha ni tarehe 12/09/2014 Mbeya na Iringa tarehe 16/09/2014 alafu Dar es salaam itakua tarehe 19/09/2014ambapo sehemu itakapofanyikia pamoja na muda utatangaziwa baadae lakini kama unahitaji maelezo zaidi piga hizi namba 0655441165/0713302075
0 comments:
Post a Comment