Kuna usemi usemao kuwa kama wanaume wangechukua
nafasi ya wanawake kuzaa watoto, leo hii kusingekuwa na
binadamu. Na sasa uchungu wanaoupata wanawake wakati
wa kuzaa unaweza kuonjwa na wanaume nchini China.
Hospitali moja kwenye mji wa Jinan uliopo kwenye jimbo la
Shandong, linawaonjesha wanaume kwenye kifaa maalum
‘childbirth simulator’ ili kujionea wenyewe kile wake zao
huwa wanakutana nacho wakati wa kujifungua.
Machozi yakimtoka mwanaume aliyewekewa mashine ya
uchungu wa kuzaa
Watu wengi wanaojitolea kuwekewa mashine hiyo ni
waume au wachumba wa wanawake wenye ujauzito.
Mwanaume akisikilizia maumivu makali kama wayapatayo
wanawake wakati wa kujifungua
Hospitali hiyo imesema inataka kuwaonesha wanaume jinsi
wanawa
ke wanavyoteseka wakati wa kuzaa ili wanaume waheshimu kile wanawake wanakipitia. Wanaume wengi katika zoezi hilo walilia na wengi waliweza kuhimili maumivu hayo kwa dakika chache tu
ke wanavyoteseka wakati wa kuzaa ili wanaume waheshimu kile wanawake wanakipitia. Wanaume wengi katika zoezi hilo walilia na wengi waliweza kuhimili maumivu hayo kwa dakika chache tu
0 comments:
Post a Comment