Siku ya jana Novemba 6, Beyonce
alimtembelea Kelly Rowland aliyejifungua mtoto wa kiume na kuacha ujumbe
wa nguvu katika ukurasa wake wa Instagram (@beyonce) kwa mtoto huyo.
“.. Hakuna hisia nzuri kama hii ya
kumshika mpwa wangu mzuri. Nashukuru Mungu kwa heshima ya kuishuhudia
safari ya dada yangu kuwa mama. Nimekuwa nikiota watoto wetu wanakua
pamoja. Nashukuru kwa kuungana kwetu. Mtoto Ty, Nakupenda sana. Pongezi
kwenu wapenzi..”-Beyonce.
0 comments:
Post a Comment