.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Forbes imetoa orodha ya wasanii wa kike waliotengeneza pesa zaidi kwenye muziki mwaka 2014, Beyoncé ametajwa namba moja kwenye orodha akiwa ametengeneza dola za Kimarekani milioni $115. Wasanii wengine waliotajwa ni Taylor Swift, Pink, Rihanna na Lady Gaga.

Hii ndio orodha ya wasanii hawa na pesa walizotengeneza
1. Beyoncé - $115 million
2. Taylor Swift - $64 million
3. Pink - $52 million
4. Rihanna with - $48 million
5. Katy Perry - $40 million
6. Jennifer Lopez - $37 million
7. Miley Cyrus - $36 million, tie
7. Celine Dion - $36 million, tie
9. Lady Gaga - $33 million
10. Britney Spears - $20 million

0 comments:

Post a Comment