Chris Brown ametangaza rasmi kwenye show kuwa ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu Karrueche Tran. Kwenye show yake wakati anapiga nyimbo alipozi na katikati akasema “I’m single too!” na kusema “F*** that b****!”
Hii ndio post ya Chris Brown kuhusu issue hii, huku akimchana Karrueche kuwa amemfanyia mambo mengi ila hajarudisha fadhila na kwamba alihisi Tran alikuwa na mahusiano na Drake.Chris Brown ameifuta baada ya dakika cheche ila niliikamata fasta.
0 comments:
Post a Comment