Hili
ni tamasha ambalo huusisha zaidi walaji mbalimbali wa nyama kukutana
na kufurahia nyama mbalimbali ambazo huandaliwa na mabanda mbalimbali
ikiwemo Nyama ya kuku, ng’ombe na mbuzi.
Dec 06 jiji la Dar es Salaam limepata nafasi nyingine ya kukutana pamoja na kula nyama za aina mbalimbali, Nyamachoma Festival Dar es Salaam imefanyika kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu Dar.

0 comments:
Post a Comment