kila shabiki wa mziki Tz hususani wapenzi wa tamasha kubwa la burudani,FIESTA,atakuwa ana hamu kufaham ni msanii gani mkubwa atatua nchini kwewnye kilele cha tamasha hili,jijin Dar,Tamasha hudhaminiwa na beer ya serenget na kupitia ukurasa wao wa FACEBOOK wameorodhesha majina ya wasanii hao na kuacha swali kwa mashabiki ni nani wanahisi watamleta....we unahisi ni nani? |
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment