Ciara Aka Cici mchumba wa Rapper Future
amefanya photo shoot ya Jarida la W kuhusu muonekano
wake wakati wa ujauzito. W magazine
wamepata exclusive Interview na Cici ambaye
anategmea kujifungua mtoto wa kiume siku yoyote sasa.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Cici mwenye miaka
28. Ciara anasema ” Nikishajifungua salama nitarudi
studio ili kumalizia album yangu mpya na kuanza kuoanga harusi yangu na Future
0 comments:
Post a Comment