Ulijskiaje ulipofanya kitu na kikawa na mafanikio
makubwa kuliko ulivyotategemea?ama kufanya kitu na
kikafanya watu wengine wakifurahie ama kukipenda,ama
kufanya kitu na kikafanya mabadiliko kwa wengine?
yakutoke,ndicho kilichotokea kwa hit maker wa ,wimbo unaopendwa
zaid dunian HAPPY.. Pharrel William ambae akiwa kwenye mahojiano na
mwanamama Oprah,alionyesha video yenye
matukio ya jinsi watu,wakiufurahia na
kuupenda wimbo wa HAPPY,hakuweza
kujizui na kulia machozi ya furaha.Tazama
0 comments:
Post a Comment