Wasanii 50 wa muziki a Bongo Fleva, Hiphop, Injili, Dance na
Taarab wamekuja pamoja na kufanya wimbo wa Kuhamasisha
Muungano unaotoka April 26 2014. Sababu ya kufanya
wimbo huu ni kuhamasisha Amani na muungano wa
Tanganyika Na Zanzibar. Hii ni mara ya kwanza sauti za
wasanii 50 zinasikika kwenye wimbo wa dakika 3.
0 comments:
Post a Comment