Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa
mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na
mamilioni ya wavutaji
wengine duniani kwenye siku
maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na
wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za Rihanna akiutukuza mjani kwa njia mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment