Kwetu kama jina lenyewe lilivyo,ni swala zima
la kujivunia nyumbani kwetu,vya kwetu,mavazi yetu
na utamaduni wetu,lengo letu ni kutangaza nchi
yetu na utamaduni wetu kupitia mavazi na mapambo
yote yaliyokaa kiafrika.
pichani ni Katika moja ya
maonyesho ya
Mavazi yetu USA.
kumbuka kuwasiliana na sisi franya hivi.
mstemeke@gmail.com ama simu
(+240) 473-2908
0 comments:
Post a Comment