Ciara hivi sasa ana ujauzito
unaokaribia miezi
tisa na anatarajia
kumpata mtoto wake wa kwanza na rapper
Future.
Mwimbaji huyo ameonekana akifanya mazoezi ya kukimbia
kujiweka fit kiafya Jumanne (May 13),
huku akiwa amevalia nguo inayombana
na kuchora vyema tumbo lake.
Bado
mwimbaji huyo hajaweka wazi jinsia ya mtoto
wanaetarajia kumpata na mchumba wake.
0 comments:
Post a Comment