Wimbo mpya "Prokoto" wa Mwanadada
kutoka Area 254 Kenya Victoria Kimani utaanza kusikika
ifikapo tarehe 14 Mwezi huu. Kwenye wimbo huo
Victoria amewashirikisha wakali wa Bongo
Fleva pande za 255 Tz akiwemo Diamond Platinumz
pamoja na Ommy Dimpoz. So kama wewe ni shabiki
wa Wasanii hawa tegemea ladha hizo tatu kwenye ngoma moja
. Na utaweza ku download hapa hapa kwenye Site yako ya burudani.
0 comments:
Post a Comment