Wabunge wapya walioingia Bungeni msimu ni
pamoja na Mbunge Ridhiwani Kikwete kutoka jimbo
la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka
jimbo la Kalenga leo wameapishwa rasmi
kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ridhiwan akiapishwa
Waziri mkuu Mizengo Pinda akimponeza Ridiwani kikwete
Godfrey Mgimwa Akiapishwa
0 comments:
Post a Comment