Hatua nyingine ya mziki wa TZ inaenda kupigwa..Bila shaka hata Diamond hakuwa akifahamu kama anachukuliwa hadi na wasanii wakubwa kama msanii mzuri kabisa ambae wakifanyz nae collabo,mziki wao utafanyz vizuri,mpaka juzi kabla ya tuzo mafikizolo walipomwomba diamond abaki wafanye nae wimbo,kumbuka diamond alitakiwa arud nyumba jumapili lakini wao walilipia gharama zote za kuendelea kubaki mpka nyimbo ifanyike,na kazi imefanyika,diamond mpka anaenda studio hakua ameambiwa wala kujua idea ya wimbo,katungia mashairi mule mule studio, na pale alipoingiza sauti mafikizolo wenywe wakakubali kweli kijana yupo vizuri,hii inatoa mwanga na picha nzuri kuwa mziki wetu taratibu utafika tutakapo ufike, zamani tulizoea akija msanii mkubwa tunatafuta upenyo na kubembeleza kufanya collabo rakini sasa mambo yamebadilikaa,Diamond sasa anatafutwa na wasanii wakubwa.
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Hatua nyingine ya mziki wa TZ inaenda kupigwa..Bila shaka hata Diamond hakuwa akifahamu kama anachukuliwa hadi na wasanii wakubwa kama msanii mzuri kabisa ambae wakifanyz nae collabo,mziki wao utafanyz vizuri,mpaka juzi kabla ya tuzo mafikizolo walipomwomba diamond abaki wafanye nae wimbo,kumbuka diamond alitakiwa arud nyumba jumapili lakini wao walilipia gharama zote za kuendelea kubaki mpka nyimbo ifanyike,na kazi imefanyika,diamond mpka anaenda studio hakua ameambiwa wala kujua idea ya wimbo,katungia mashairi mule mule studio, na pale alipoingiza sauti mafikizolo wenywe wakakubali kweli kijana yupo vizuri,hii inatoa mwanga na picha nzuri kuwa mziki wetu taratibu utafika tutakapo ufike, zamani tulizoea akija msanii mkubwa tunatafuta upenyo na kubembeleza kufanya collabo rakini sasa mambo yamebadilikaa,Diamond sasa anatafutwa na wasanii wakubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment