KELVIN LILES NI MDAU WA MZIKI ANAEHESHIMIKA SANA DUNIANI,AKIWA AMESIMAMIA WANMZIKI WENGI WAKUBWA MAREKANI,AKIWEMO TREY SONGS,DUPRI,MARIA CAREY NA WENGINEO,KMA UTAKUMBUKA DIAMOND AKIWA MAREKANI ALIWAHI KUTANA NAE NA KUFANYA MAZUNGUMZO SASA ..DIAMOND ALIPOST PICHA AKIWA AMEZUNGUKWA NA UMATI MKUBWA WA WATU,NA MENEJA HUYO AKACOMENT AKIANDIKA NICE SHOT,HIT ME WHEN U GET CHANCE |
|
0 comments:
Post a Comment