Kama ni nyota kung'aa basi kwake utakuwa ni mwezi kabisa ndiyo unang'aa kwa Lupita,mwaka huu pekee keshashinda tuzo 4 kubwa kabisa duniani/Academy Awards for Best Supporting Actress, MTV Africa Music Awards for Personality of the Year, BET Awards for Best Actressna sasa kashinda kwenye Vanity Fair magazine award for International Best-Dressed Celeb. . Vanity Fair is an American magazine about popular culture, fashion, and current affairs ..duh hongera Kenya na Lupita,bila shaka na sisi Diamond atakujoin huko mda si mlefu nasi tupate wa kututambulisha
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by kifesi |
Kama ni nyota kung'aa basi kwake utakuwa ni mwezi kabisa ndiyo unang'aa kwa Lupita,mwaka huu pekee keshashinda tuzo 4 kubwa kabisa duniani/Academy Awards for Best Supporting Actress, MTV Africa Music Awards for Personality of the Year, BET Awards for Best Actressna sasa kashinda kwenye Vanity Fair magazine award for International Best-Dressed Celeb. . Vanity Fair is an American magazine about popular culture, fashion, and current affairs ..duh hongera Kenya na Lupita,bila shaka na sisi Diamond atakujoin huko mda si mlefu nasi tupate wa kututambulisha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment