BONYEZA HAPA KUITAZAMA VIDEO
Mfuasi mmoja wa kundi la ISIS la Syria ameungana na wanajeshi kadhaa wa kundi hilo kufanya mauaji ya kinyama kwa kumpiga mawe binti yake wa kumzaa hadi kufa baada ya kugundulika kuwa alizini.
Kundi la ISIS limeachia video inayoonesha tukio hilo la kusikitisha linaloelezwa kufanyika katika jiji la Hama nchini Syria.
Katika video hiyo iliyoripotiwa
pia
Baba huyo alioenekana akiwageukia wapiganaji wa ISIS na kuwapa ishara kuwa adhabu ianze, na mwisho yeye anaonekana akiwa na jiwe kubwa zaidi lililoutoa uhai wa binti yake.
0 comments:
Post a Comment