Posted by kifesi |
Rapper Kanye West ameweka wazi kuwa kuwa
anakubali kila akifanyacho mke wake kwenye majarida tofauti. Kupitia
twitter yake Kanye West ametwit picha ya Kim K iliyotumika kwenye jarida
la Paper.
Kim Kardashian ametokea mtupu tena kwenye jarida la Paper Winters toleo la 2014.
0 comments:
Post a Comment