.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVGTbIrPNNVTGO2bbMqJX_WTyPGrliGB2RqBQ_JuZfBGZCo_HbkonTjODFdt4EcujDX6mYFsWi1YPaadYXqeNjNtE87Zuh8jIi6PUk_s_j6KAGSp_H9sy9kkftP25ic79lIWelT_widNg/s1600/diamooon.PNG
Hebu tuweke kumbukumbu sawa hapa manake inawezekana watu mmekazana kusifia umalaya wa wenzenu kwa vile wa kwenu hakuna anayeufuatilia. Kwa kumbukumbu zangu, tangu Diamond arudiane na Wema, hatujasikia kwa ushahidi kabisa kwamba Diamond amegonga mwanamke fulani. Tangu wamerudiana, ni karibu miaka mitatu sasa na ndipo tunapata habari za Dangote na Zari.

Sasa , kaa chini na tafakari na wala haina haja ya kutoa jibu hapa... jibu baki nalo mwenyewe kwenye nafsi yako kisha jiulize kama una moral authority ya kumnyooshea kidole Diamond! Wewe mwanamke, kaa chini na tafakari kisha jijibu mwenyewe; over the past three years, umegongwa na wanaume wapya wangapi? Wewe mwanaume, over the past three years umegonga wangapi? UKishapata jibu hebu jaribu kujitafakari kama kweli unayo moral authority au tu ni kwavile ya kwako hayajulikani!!!!

Kuna watu wengine, kama kawaida yao, eti anatafuta kiki! Hii hoja ishapitwa na wakati coz' video ambae ameiachia siku tatu tu zilizopita tayari ina views zaidi ya 350,000... sasa utafute kiki ya nini kwa ku-post picha kama hiyo.... hebu njooni na hoja za msingi, hiyo ya kutafuta kiki ishakuwa obsolte!!

0 comments:

Post a Comment