Usiku wa jana kuamkia leo palikuwa hapakamatiki katika sherehe ya mkongwe Dully Sykes palijaa kila aina ya wasanii na raha ilikua zaidi pale wasanii wakongwe waloanza na Dully Sykes kuwepo, kwa kweli ulikuwa ni usiku wa kukumbukwa na wenye kila aina ya raha na kukukumbuka mengi yaliyowahi kutokea ndani ya muziki wa bongo fleva na hizi ni miongoni mwa picha zilizojiri ukumbini hapo...
.
NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA
Gallery
Posted by babally.bligspot.com |
Mkurugenzi wa kampuni ya endless fame, Wema Sepetu akimtambulish msanii mpya Ally Luna kwa mashabiki,Ally Luna atakuwa chini ya usimamizi wa Wema Sepetu nakampuni yake
Msanii Bob Junior nae alikuwepo katika kutumbuiza katika sherehe hiyo..
Nae msanii huyo mpya Ally Luna. hakuwa nyuma alionyesha cheche zake..
Subscribe to:
Posts (Atom)