Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate
Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia
raha kutovaa chochote.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni
aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni
eneo la kujiachia.
“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi
MISSY TEMEKE Missy Temeke is one of the Prominent African fashion designers, recognized for her artistic and technical skills and for creating simple, comfortable women’s wear. Born and raised in the Dar-es-salaam, Tanzania, Missy Temeke'spassion for fashion began in her teens when she worked as a Model, beauty pageant and beautician for the clouds company while attending school. Missy Temeke began her......CLICK THE PICTURE TO CONTINUE READING
0 comments:
Post a Comment