.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Diamond anapigwa vita sana adondoke, ila tusichojua wabongo ni kuwa Diamond akidondoka mziki wetu  unadondoka pia Dee ametuweka kwenye ramani ya muziki ambayo hatukuifikiria kwa miaka ya karibuni kwa juhudi zake, ila sisi badala ya kum-support ndio kwanza tunampiga mawe hatari. Kuna nchi kibao hapa Africa kitu kizuri pekee wanachojua kutoka bongo ni Diamond na ushiriki wetu Big brother.
 kila nikiskia kapiga hatua flani nafarijika kama Mtanzania na namuheshimu. 
Ila sio issue,kama tunaona ni sawa kumshusha  tumshushe tu halafu tuanze upya kuwapandisha tunaowapenda, tukishindwa tuanze kulaumu jinsi Nigeria walivyo-dominate game, si ndio zetu.

0 comments:

Post a Comment