Video mpya ya Ben Pol iliyotayarishwa na waongozaji wawili wa video kutoka Tanzania Hanscana na Khalfan.
Ben Pol anasema mmoja ya watu kwenye crew ya kutengeneza video ndiye alimuunganisha na video model wa video yake, Model huyu anatoka Tabora, Sababu ya kufanya naye video ni kuonyesha na kutuma ujumbe kwa jamii kuwa watu wenye Albinism wana haki ya kupendwa kama binadamu wengine
0 comments:
Post a Comment