Wapenzi walioweka rekodi ya kuachana na kurudiana mara nyingi zaidi Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.
Wawili hawa wameonekana kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa Travi$ Scott ya miaka 23 pamoja na mastaa wengine kama Kanye West na Die Antwoord.
0 comments:
Post a Comment