.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
 Kuwa na familia yenye furaha ndiyo ndoto na hitaji la
 kila mwanadamu,ni wengi wanojutia familia zao,wengine 
wa jutia wenzi walionao na hata watoto waliojaliwa,
lakini ninamshukuru Mungu .Kwa familia

 njema na yenye furaha  aliyonipatia,wanangu na 
Mume wangu siku zote ,wzamekuwa ni watu
 wanaonipa sababu ya kutabasamu na kufurahia maisha,MUNGU
 IBARIKI FAMILIA YANGU,BARIKI KAZI YA MIKONO YANGU







0 comments:

Post a Comment