Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz
ni baba? Well, hatujawahi
kumsikia popote
akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’
alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea
‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye
mahojiano aliyofanya na
mtandao maarufu wa
Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda
huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na
mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid. Kwenye
mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza:
\ What have you learnt about fatherhood, now
that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba
kwakuwa sasa wewe ni baba)
Diamond alijibu: Fatherhood
is a great experience, very humbling.
You learn a lot about your children and the kids and
the kinds of things they love. For example, my baby loves this
cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!!
(Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza
mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano
‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo
unaogusa, nadhani Ben 10!
Kumbe
Diamond ana mtoto
tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa katuni?
Swali ni kwanini hajawahi
kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo
September mwaka jana, moja ya magazeti ya
udaku ya kampuni ya Global Publisher,
yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye
Sasha Juma aliyedai kuwa amezaa na Diamond.
0 comments:
Post a Comment