Napenda nimshukuru Mungu kwa kila hatua ninayopiga
kwani ,naamini yeye ndiye anaenipigania na kunisogeza
kwa kila hatua ninayosogea,week iliyopita mimi na kampuni yangu ya
KWETU FASHION,nilipata bahati ya kualikwa kufanya
maonyesho kwenye maonyesho makubwa ya Tamaduni
za balozi ama PASSPORT DC,ambayo huadhimishwa kila
mwaka nyakati za majira ya spring.
kwa mara nyingine tena namshukuru Mungu kwani
maonyesho yetu yalifana na tulifanya vizuri,zifuatazo ni
baadhi ya picha za matukio yalivyokuwa
Nikipata maelekezo kutoka kwa Sameh Alfonse
(Duputy Chief Representative of The Arab League)
siku ya Jumamosi May 3, 2014 nilipofanya
maonesho ya mitindo ya vivazi toka
kampuni yangu ya KWETU Fashions
hongera sana dada yetu
ReplyDeleteCongratulatiom my Dada.....
ReplyDeleteCongratulatiom my Dada.....
ReplyDelete