
Mastaa hawa wamekuwa mke na mume rasmi
leo baada ya kufunga ndoa leo,ndo yao ilikua
private,na ilifanyika juu ya mlima wa Forti di belevedre
lakini marafiki wakubwa wa Couple hii,Beyonce na Jayze hawakuhudhulia

PICHA ILIYOPIGWA NA SHABIKI,
IKIWAONYESHA KANYE NA KIM WAKIAPISHWA
MAMBO YALIFANYIKIA HAPA

kIM AKIWASILI

Kanye west akiwasili

Naipenda sana hii couple,John legend na mkewe
nao walikua moja ya mastaa waliohudhuria
0 comments:
Post a Comment